ADS

ADS

mefichukaa..Kumbe Mwalimu Nyerere Alikuwa Hajui Kuendesha Gari...!!!

0 comments
KITABU chetu cha leo ni “Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere,” kimeandikwa na Peter D. Bwimbo na kuchapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota. Kina nambari ISBN 9789987-753-32-1. Peter D. Bwimbo alikuwa afisa usalama wa taifa hivyo kuwa mlinzi mkuu wa Mwalimu Nyerere lilikuwa suala la utaratibu.
Mwandishi anatuachia kumbukumbu kuhusu maisha ya Mwalimu Nyerere na masuala ya ulinzi na usalama pamoja na maisha ya nyakati za ukoloni na baada serikali mpya ya Tanganyika (Tanzania) changamoto, mafunzo na maasi ya kijeshi ya mwaka 1964.
Kitabu hiki kinaeleza maisha ya makachero ama vyombo vya dola vinavyofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha viongozi wetu wanaishi kwa amani na utulivu.  Pamoja na changamoto za kuwalinda wananchi nchini kuanzia Special Branch (Idara ya Usalama wa Taifa kabla ya ukoloni) ambayo baadaye ilibadilishwa na kuitwa TISS (Tanzania Intelligence and Security Service).
Matukio muhimu yanayotajwa ndani ya kitabu hiki, “Kwa hiyo kazi ya kuwaelemisha wananchi kwa njia ya mikutano ya hadhara kuhusu masuala ya siasa na faida ya kujitawala ilikuwa ngumu sana iliyohitaji Mwalimu Nyerere na wenzake kujitolea kusafiri kwa shida umbali mrefu na kwa njia mbaya vijijini na mijini wakati mwingine kwa miguu kuwafikia wananchi mahali walipo. Aidha, wananchi nao wakati mwingine waliogopa kuhudhuria mikutano hiyo kwa hofu ya uwezekano wa kukamatwa na vyombo vya serikali ya kikoloni hata kama mikutano hiyo kwa bahati ilipewa vibali,” (Uk. Uk. 24)
.
Mwandishi anasema kulikuwa na nyakati ngumu za kupigania uhuru na baada ya wakoloni kuondoka. Baadhi ya maofisa wa kizungu walichukizwa na kupatikana kwa uhuru wakaamua kutotoa mafunzo yoyote.
“Maofisa Wazungu katika Special Branch (Idara ya Usalama) kabla hawajarudi kwao kufuatia program ya Africanisation (neno hilo lilitumiwa hivyo hivyo katika Kiswahili kuwa frikanaizesheni), hawakutayarisha mwongozo wowote ingawa kitengo hiki walikianzisha wenyewe. Kwa hiyo, wakati nakabidhiwa kushika madaraka haya nilielezwa tu na Tim Hardy kwamba nitaongoza kitengo hiki cha ulinzi wa waziri mkuu Julius Nyerere kuanzia mwezi Agostia 1961,”(Utangulizi uk.XI).
Aidha, “Tanganyika ilipata serikali ya madaraka ya ndani tarehe 3 Septemba 1960, wakati huo mimi bado nikiwa masomoni Uingereza. Baada ya TANU kushinda katika uchaguzi na kupata idadi kubwa ya wajumbe katika Barazala la Kutunga Sheria (Legco) Mwalimu aliteuliwa na Gavana kushika wadhifa wa waziri mkuu (Chief Minister) Special Branch wakati huo ilikuwa chini ya Jeshi la Polisi,” (Uk. 29)
Hii ina maana kuwa kabla ya Uhuru kamili, Tanganyika ilianza kwa kupewa serikali ya madaraka ya ndani (Internal self Government). Kwenye suala la kuwalinda viongozi, anasema “Ulinzi wa Mwalimu Nyerere kwa ujumla haukuwa rahisi, ikilinganishwa na ulinzi wa viongozi wengine, kwa sababu alijiamini kuhusu maisha yake ya kisiasa kiasi cha kutokuwa na wasiwasi,” (Uk.33).
Nyerere alikataa sanamu yake kuweka katikati ya jiji. “Mara baada ya uhuru, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wakati huo walitaka sanamu yake itengenezwe ichukue nafasi ya ile ya asakri wa vita mwenye bunduki na singe katika maungano ya Mtaa wa Samora, Azikiwe na Makunganya, alikataa kata kata kwa maelezo kuwa sanamu kama hizo hazifai katika nchi zinazozingatia demokrasia na kuongozwa kwa utaratibu wa kupokezana madaraka muda unapokwisha,” (Uk.39).
Mnamo Januari 22, 1962, Mwalimu Nyerere alipotangaza kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mkuu  kwa madai hakuwa akisikilizwa na serikali ya wakoloni. Baada ya kujiuzulu, alimteua Rashid Kawawa kuwa Waziri Mkuu (Uk.45).
Kuhusu maisha binafsi, kwa mfano, kabla ya uhuru palikuwa na Mwafrika mmoja tu nchini Tanganyika aliyekuwa na Digrii ya Masters aliyoipata mwaka 1952, miaka tisa kabla ya uhuru. Kulikuwa na madaktari Waafrika 12 pamoja na wahandisi Waafrika wawili wakati ambapo idadi ya watu wote nchini Tanganyika wakati huo ilikadiriwa kuwa milioni nne. Idadi hii ya wasomi nchini Tanganyika wakati huo alitajwa na Mwalimu Nyerere jijini Brasilia, Brazil tarehe 18 septemba 1996 katika hotuba yake aliyotoa kuhusu hali ya Afrika katika kipindi cha kuelekea karne ya 21. Mtu pekee Tanganyika aliyekuwa na digrii ya masters alikuwa yeye Mwalimu Nyerere lakini kwakuwa hakuwa mtu wa majivuno hilo hakulitaja,” (Uk.55).
Linalovuta hisia zangu ni hili, “Yeye mwenyewe Mwalimu Nyerere ameongoza nchi hii kwa muda mrefu lakini kadri ninavyofahamu, hakuweza kumiliki hata gari moja hadi anang’atuka kutoka ngazi ya urais wala hakujifunza kuendesha gari, bali alijua kuendesha Baiskeli,” (Uk.60).

Continue »

Hizi ndizo style 10 za kutoombana

0 comments

Continue »

TAZAMA VIDEO WAGANDANA WAKIFANYA MAPENZI GUEST HOUSE

0 comments

Continue »

Mwanaume Akijirusha Gorofani baada ya Kukataliwa na Mpenzi

0 comments

Continue »

TAZAMA VIDEO JAMAA anyonywa kma mchana kweupee

0 comments

Continue »

ANGALIA VIDEO Jamaa Anatongoza huu Mzigo hadi Unakubali

0 comments


Continue »

TAZAMA VIDEO YA RAIS WA IVORY COAST AKIZALILISHWA

0 comments
Huyu anayevutwa na Askari sio kibaka, sio mwizi, sio mfuasi wa chama cha upinzani ambao wengi wamezoea kuonewa bila sababu. Huyo ni Rais wa nchi. Ni Rais wa zamani wa Ivory Coast 

Continue »

TAZAMA VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ FEAT. NEYO - MARRY YOU (LEAKED)

0 comments

Continue »

Video ya Ngono ya Diamond Na Zari Imevuja

0 comments

Continue »

TAZAMA VIDEO YA MPOKI Kafumaniwa na Tunda Itazame hii

0 comments

Continue »

Duh! Angalia Anachofanyiwa Diamond huko Marekani

0 comments

Continue »

Wema Sepetu Provides CAUTION For Wake Wabaya see his video

0 comments
Madam Virtue Sepetu has sent a message warning that his evil pursuer its atmosphere.

It is a fact that Jane has been struggling back and forth many times to obtain a child but still things have gone wrong for ending injury while some people mock him for forgetting the insulting thing to have a child is God's grace alone.

Through his Instagram account, Wema Sepetu has a picture of a pregnant Blac Chyna which represents its share of the stomach and write, "And I would like your account to fast true roots of this situation .... Mxxxxxxiiiuee. "

Earlier this year it was alleged that goodness is pregnant with Idris Sultan but after a while they were reporting from the pregnancy despite uncertain whether it was true or review. Do not give up madam Goodness exists accruing on your happy tears.

Continue »

Diamond and Majuto Rapping in Insuranse Loans record

0 comments
diamond paltnumz made a insurance record insurance insurance insurance insurance …

Continue »

Video: For the Beauty of Demu This New Diamond Platnumz, Zari Atasubiri Sana

0 comments
Though Diamond has given birth and grew up to have a baby Tiffah Zari, but for now there are rumors grew Diamond Platnumz goes out and new girlfriend Irene Called Forth. For information zakuaminika from people close to Diamond Diamond show is really coming from the girl from last year.

Now there instagram has grown a great controversy about who is the most beautiful among Zari and Irene. For insight of my eye I see Irene aka Bi beautiful than even the younger ones Zari.

Let's see his video here and tell me who the most beautiful among the tinsel and Irene ....

insurance
insurance insurance

Continue »

SEE VIDEO OF Diamond says Zari will be delivered in December

0 comments
The singer said he and his partner Zari rely son.

"Yah actually I am a father next," Diamond told during the Leo Again "I expect Mama Tiffa grants me another child again, will be male,"

He added, "And it will be in December this year! After that I will not add another child again, it is time to eat duck is now at fata and our two children "

Diamond and Zari already have one female child, 'Tiffa' who soon will fulfill a year.


Continue »

SEE VEHICLE Rolls Royce NEW DIAMOND Platnum

0 comments
One of the headlines swap stories deposited on the day this February 1 2016 is the artist Bongofleva and CEO of record label of Pure Classic Baby (WCB) Diamond Platnumz make clear that before 2016 ended he bought a Rolls Royce.

.
Some mastaa Africa occupying drive a Rolls Royce is Koffi Olomide and star football Former Arsenal Emmanuel Adebayor, who is currently playing for Crystal Palace, still uncertain Rolls Royce was yopost Diamond is a version of what year, but working on the story from autoguide.com states that Rolls Royce sold more than 3 hundred thousand dollars, which is more than 600 million Tsh also depending on the version..





Continue »

Chris Brown gave arrested for 'threatening' woman

0 comments
Police in the US have been arrested and  renowned singer Chris Brown for allegedly attacking a man with a dangerous weapon.

Police were called settlement Chris Brown and a woman who asked for help at nine overnight.

Queen of beauty, Baylee Curran told the LA Times newspaper, that the singer pointed a gun barrel.

However they were prevented from entering and had to wait to get the approval of a judge before doing searches for guns in that abode.

The woman who called police later told the media that differed from Brown about jewelery.

He said he had got to Mr Brown with his friend and ally of the commercial and was watching the value chain that had been worn by a man when Jackson was reproved and asked him to leave once he has turned the gun.

He was able to leave the residence without harm.


Chris Brown has written a message on social networks to defend themselves and blaming the police for harassing.

His lawyer came to the lodging and entreated him to accompany police officers. The singer is expected indictments invasion.

Chris Brown has been getting in trouble before, especially he attacked his former girlfriend and singer Rihanna in February 2009.


Continue »

NEWS breaking the ribs ... I leave TANZANIANS HOI Magufuli PRESIDENT ON TODAY WHILE WORKERS TO PRACTICE IN THE SOIL When he reached this is what happens bike highway

0 comments
Insurance      

NEWS breaking the ribs ... I leave TANZANIANS HOI Magufuli PRESIDENT ON TODAY WHILE WORKERS TO PRACTICE IN THE SOIL When he reached this is what happens bike highway 


Continue »

see witches on army camp

0 comments
d her latest moves like featuring in and making the top Nigerian artistes' video trend, have marked her as quite the Mesothelioma Survival Rates About 40 percent of patients with mesothelioma survive the first year after diagnosis. That survival rate depends on many factors, including age, cancer stage, cancer type, race and gender. Long-term survivors attribute their success to treatment from a mesothelioma specialist, alternative medicine and nutritional changes. Average mesothelioma survival rates Mesothelioma claimed nearly 30,000 American lives between 1999 and 2010. About 40 percent of U.S. patients live to the one year mark. By the second year, about 20 percent of patients are still alive. And by the third year, the number is 8 percent. How is survival rate measured? Researchers describe the mesothelioma survival rate in several ways. They usually talk about it in terms of one-year survival, the percentage of people who survive for a year after diagnosis. Through their studies, they also look at longer survival times, including the number of people who live two years, three years and five years 

Play Down Look VIDEO
insurance
insurance insurance



Continue »

ZARI THE BOSS LADY

0 comments

d her latest moves like featuring in and making the top Nigerian artistes' video trend, have marked her as quite the Mesothelioma Survival Rates About 40 percent of patients with mesothelioma survive the first year after diagnosis. That survival rate depends on many factors, including age, cancer stage, cancer type, race and gender. Long-term survivors attribute their success to treatment from a mesothelioma specialist, alternative medicine and nutritional changes. Average mesothelioma survival rates Mesothelioma claimed nearly 30,000 American lives between 1999 and 2010. About 40 percent of U.S. patients live to the one year mark. By the second year, about 20 percent of patients are still alive. And by the third year, the number is 8 percent. How is survival rate measured? Researchers describe the mesothelioma survival rate in several ways. They usually talk about it in terms of one-year survival, the percentage of people who survive for a year after diagnosis. Through their studies, they also look at longer survival times, including the number of people who live two years, three years and five years  

Continue »